Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anasikitika kutangaza kifo cha Mfanyakazi wake wa kitengo cha Masako Bw. Noel N`gombe kilichotokea leo katika hospitali ya Regency Dar es Salaam. Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu maeneo ya Chang`ombe Maduka Mawili Dar es Salaam.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa.
Jina la Mungu lihimidiwe.
NOEL JACKSON NG`OMBE 1973-2011
FOREVER IN OUR HEARTS,
FOREVER IN OUR TEAM,
FOREVER OUR NOEL,
Rest In Peace …
Noel... Rafiki, mfanyakazi mwenzangu na mtu ambaye sikuwahi kumuona amechukia. Mara zote mcheshi na mwenye mtizamo chanya!. Gone too soon. RIP Noel!
ReplyDeleteImani
Mola amuweke mahali pema peponi. Poleni familia yote ya marehemu.Willy (na kwa niaba ya rafiki zako wote wa Tabata Kota, Bima.
ReplyDeleteR.I.P Noel
ReplyDeleteR I P NOEL
ReplyDeleteMtu wa watu.
ReplyDeleteMungu aiweke mahala pema peponi
Amen
Erick
RIP my Friend Tutaendelea kukukumbuka kwa ukarimu wako na ucheshi wako Mungu aiweke roho yako mahali pema Peponi From Boys to Men pamoja - Gone too soon! - Waniha Pascal
ReplyDeleteInauma saaana lkn tunachopaswa kufanya ni kukuombea kwa mungu akupokee na akusamehe makosa yako yoote ambayo uliyafanya hapa duniani, mungu ni mwenye huruma atakuhurumia tu ndugu yetu Noel Ng'ombe.
ReplyDeleteR.I.P NOEL NG'OMBE!
RIP Noel gone too soon May almighty God rest your soul in peace!!we grew up together in sea view your dad was gone too soon, then your Brother 'Joseph' was gone too soon then You are gone too soon!! you will be missed-Alex Ruhumbika-Seattle,WA( childhood friend)
ReplyDeleteRaha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanaga wa milele umuangazie Noel, apunzike kwa amani. Amina.
ReplyDeletevictor karugaba
U had been a good brother always.
ReplyDeleteR.I.P MY BIG BRO