Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2011

    michuzi asante sana kwa hii posting. huyu baba ndio mwenyewe kwa upande wa jazz in africa. the guy is sooooooo good. kama unapenda jazz nenda kamuone. alifuraisha wengi alipocheza toronto. nina furahi kusikia atakua dar on saturday. south africa iko juu kwenye map ya jazz in the world. i hope atakwenda nairobi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2011

    Naona huku kwetu Temeke tiketi haziuzwi. Sasa jamani sisi wengine ndio hatuna haki ya kusikiliza mziki mzuri? 50,000 kiingilio na masponsor bwereree! Kwani mkifanyia ukumbi mkubwa zaidi na mkashusha bei kidogo si italipa vilevile? Yaani hapo nikimshika mkono na mai waifu wangu kilo ishapotea bila kukamata hata kadrink. Nakumbuka alipokuja kutumbuiza (kwa mara ya mwisho) Miriam Makeba kiingilio kilikuwa 70,000/-

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...