Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwaatarifu ya kuwa mama Aurelia Kinyaiya, amefariki dunia leo Jumamosi [June 11th 2011] Memorial Hospital,Minneapolis Minnesota. Marehemu ni mama mzazi wa Elifaa na David Kinyaiya waishio Minnesota, na Alekunda Mmari aishiye Washington D.C.
Makadirio ya gharama za kusafirisha mwili pamoja na watakaosindikiza kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi ni $25,000.
Kama ilivyo desturi yetu, tunaombwa kuungana na familia ya Kinyaiya katika kukamilisha mipango ya kusafirisha mwili.
Unaweza kutuma mchango wako kwa njia zifuatazo;
1: WellsFargo Bank Wire transfer: Route # 530000509, Ac # 3165545314, Jina: Elifaa Kinyaiya au David Kinyaiya.
2.Western Union & MoneyGram : Zote zitumwe kwa:Neville Lema [612-964-4218].
3.Hundi (cheki) kwa: Elifaa Kinyaia :10716 Scott Avenue N,Brooklyn Park,MN 555443.
Maandalizi ya kusafirisha mwili yanaendelea nyumbani kwa Elifaa & David Kinyaia :10716 Scott Avenue N,Brooklyn Park,MN 555443.
Unaweza kuwasiliana na wafiwa kwa namba zifuatazo:
Elifaa:641-583-1189 ,
David 952-215-1116,
Alekunda 202-375-3847.
Lilian Maina 612-669-2782
Kwa taarifa zaidi, wasiliana na;
Honest Tesha:651-343-3209,
Riwa 952-457-0599,
Mollel 651-334-0163,
Denis Shengena 952-992-9489,
Erick Lemunge 651-398-1861.
Flaviana Tesha 651 329 4521
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Jina la Bwana Libarikiwe.
Akhsante,



Mungu awe faraja yenu.
ReplyDeleteRoho ya Marehemu Mama Aurelia ipate pumziko la heri.
Utukufu una Yeye!
Akifarijini Mwenyezi Mungu!
Amin.
Poleni san a wafiwa.
ReplyDeleteNaomba nipate maelezo zaidi ya marehemu.Kwo ni wapi na atazikwa wapi?
ReplyDeletekumradi kwa maswali yangu
Asante kwa swali lako. Kwao ni Tanzania, Moshi. Na anatarajiwa kufika Dar-es-salaam 18 June, 2011, then watasafiri tena kwenda kuzika Moshi, Uru,Shimbwe. Sasa hivi msiba upo Mbezi Beach, nyumbani kwa Mzee Kinyaiya.
ReplyDeleteMungu awape faraja Elifaa pamoja na familia yote.
ReplyDeleteBwana ametoa na ametwaa, jina la Bwana libarikiwe.
naomba kuuliza huyu mama anaundugu beny kinyaiyas au ni mama yake naomba jibu wapendwa
ReplyDeleteNingeshauri tu kuwa mfanye utafiti zaidi wa bei za kusafirisha mwili wa marehemu kwavile inaonyesha kuwa Mnalanguliwa. Watu wameshasafirisha miili toka West Coast for less than 15,000 kwahiyo nadhani wahusika wanatakiwa wafanye utafiti kidogo. 25,000 is just too much. Nadhani hata mdau hapo juu aliyeuliza kuwa kwao marehemu ni wapi alishindwa tu kuwa wazi kuuliza kwanini gharama ni kubwa hivyo. Poleni sana wafiwa.
ReplyDeleteAsante Kaka Michuzi kwa kutusaidi kusambaza hii habari ya msiba wa mama yetu.
ReplyDelete@Anonymous Sun Jun 12, 07:41:00 PM 2011
Kwa kwaida yetu tunavyofanya hapa Minnesota huwa tunachangia familia yenye msiba kusaidia kwanza kusafirisha marehemu nyumbani, expenses the funerel home, wanafamilia watakosindikiza mwili, gharama za msiba hapa na nyumbani.
Asante sana kwa feedback yako na tunashukuru kwa maoni zaidi.
Mungu aipumzishe roho ya Marehemu Mama Aurelia Kinyaiya kwa amani,Alikuwa ni mama mkarimu na mchangamfu sana,Mungu awape nguvu watoto wake wote Tauka,Alekunda,Siana,Elifaa na David pamoja na Mume wake Mzee Ferdinand Kinyaiya.
ReplyDelete@Anonymous Sun Jun 12, 05:51:00 PM 2011, sio Mama yake Ben Kinyaiya, ila wana undugu.
ReplyDelete