Maharusi wanameremeta
Marafiki wakiwapongeza
Maharusi baada ya kumeremeta
Bwana harusi akitoa shukurani
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Allah kumbe nsajigwa na uzee wote huo alikuwa hajaoa? Au ana-replace?
ReplyDeleteHongera lakini Nahodha wetu. mungu ailinde ndoa yako isiingiliwe na wafitini.
hongera sana kepten!! MUNGU awape baraka muishi kwa amani na upendo!!
ReplyDeleteHongera sana Shadrack Nsajigwa 'Fusso'. Mola akujaalie Maisha marefu ya ndoa na tunda na roho yako!
ReplyDeletemeriji inaongeza laifu ekisipentansi. nawapa pleini hii ni muimu. wachezaji wengi wametutoka jemeni
ReplyDeleteKumbe ndo maana jana jamaa hakupangwa kwenye mechi. Ila duh, kweli mke ni tabia jamani, maana .....
ReplyDeleteHongereni sana!
ReplyDeleteShabiki.
we anonymous wa MOn jun 27,05:40:00 PM 2011 nahisi ndio wale waleeeee WAOSHA KINYWA mwenzio kaamua sasa mambo ya uzuri wa mwanamke ni tabia ... kitu gani ???
ReplyDeletehongereni sana wana NDOA aliounganisha MUNGU binadamu hata huyo muosha kinywa habandui wala hatenganishi
Mke yupo so fresh, nimempenda sana. Nguo imempendeza pia. Kuna mabibi harusi wengine maarufu lakini unakuta amevaa kituko siku ya harusi yake.
ReplyDeleteHongera, my waifu wako ana uzuri wa asili. Very refreshing kuona mdada wa kibongo na rangi naturale. Big up!!
ReplyDeleteMade in Mbeya utawajua tu kwa 'tutabia twao twa tununu tununu
ReplyDeleteHongera nahodha wetu. Mkeo mzuri sana hajajichubua kama hawa dada zetu wengine. Tunakuombea ndoa ilete mafanikio mema na mdumu. Mungu awape maisha marefu myafikie malengo yenu. Wanaoosha vinywa washindwe kabisa.
ReplyDeleteKapteni Fuso, Hongera sana kwa kufunga ndoa. Wewe ni Kioo cha jamii kwa maana ya Familia yako, Yanga na Taifa kwa ujumla. kwa maana hiyo nakutakia kila kheri umtunze sana mkeo na uzidishe mazoezi maana usije kuwa mzito kwa kula vinono. Mungu akubariki na Mkeo pia
ReplyDeleteulikuwa bado tuu mzee mhhh
ReplyDelete