Nahodha wa timu ya Taifa Taifa Stars na timu ya Yanga, Shadrack Nsajigwa akiwa na mkewe Janny Mwamasangula na wachezaji na marafiki baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Morovin Mburahati jijini Dar es salaam juzi kufuatiwa na mnuso mkubwa uliofanyika katika ukumbi wa Makuti Mgulan JKT jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Picha na Francis Dande wa Globu ya jamii.

 Maharusi wanameremeta
 Marafiki wakiwapongeza
 Maharusi baada ya kumeremeta
 Bwana harusi akitoa shukurani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2011

    Allah kumbe nsajigwa na uzee wote huo alikuwa hajaoa? Au ana-replace?

    Hongera lakini Nahodha wetu. mungu ailinde ndoa yako isiingiliwe na wafitini.

    ReplyDelete
  2. hongera sana kepten!! MUNGU awape baraka muishi kwa amani na upendo!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2011

    Hongera sana Shadrack Nsajigwa 'Fusso'. Mola akujaalie Maisha marefu ya ndoa na tunda na roho yako!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2011

    meriji inaongeza laifu ekisipentansi. nawapa pleini hii ni muimu. wachezaji wengi wametutoka jemeni

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2011

    Kumbe ndo maana jana jamaa hakupangwa kwenye mechi. Ila duh, kweli mke ni tabia jamani, maana .....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2011

    Hongereni sana!

    Shabiki.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 27, 2011

    we anonymous wa MOn jun 27,05:40:00 PM 2011 nahisi ndio wale waleeeee WAOSHA KINYWA mwenzio kaamua sasa mambo ya uzuri wa mwanamke ni tabia ... kitu gani ???
    hongereni sana wana NDOA aliounganisha MUNGU binadamu hata huyo muosha kinywa habandui wala hatenganishi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 27, 2011

    Mke yupo so fresh, nimempenda sana. Nguo imempendeza pia. Kuna mabibi harusi wengine maarufu lakini unakuta amevaa kituko siku ya harusi yake.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 27, 2011

    Hongera, my waifu wako ana uzuri wa asili. Very refreshing kuona mdada wa kibongo na rangi naturale. Big up!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 28, 2011

    Made in Mbeya utawajua tu kwa 'tutabia twao twa tununu tununu

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 28, 2011

    Hongera nahodha wetu. Mkeo mzuri sana hajajichubua kama hawa dada zetu wengine. Tunakuombea ndoa ilete mafanikio mema na mdumu. Mungu awape maisha marefu myafikie malengo yenu. Wanaoosha vinywa washindwe kabisa.

    ReplyDelete
  12. Nick YangaJune 28, 2011

    Kapteni Fuso, Hongera sana kwa kufunga ndoa. Wewe ni Kioo cha jamii kwa maana ya Familia yako, Yanga na Taifa kwa ujumla. kwa maana hiyo nakutakia kila kheri umtunze sana mkeo na uzidishe mazoezi maana usije kuwa mzito kwa kula vinono. Mungu akubariki na Mkeo pia

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 28, 2011

    ulikuwa bado tuu mzee mhhh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...