Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Kilwa Kivinje, mkoani Lindi.
Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo, Kilwa Mohamed Likalangala mkutano wa Kilwa Kivinje.
Wana CCM Kilwa Kivinje wakimshangilia Nape wakati anaondoka mkutanoni eneo hilo.
Nape akishauriana jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi, Ali Mtopa katika mkutano uliofanyika Kilwa Masoko, mkoaoni humo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na viongozi baada ya kuwasili Kilwa Vijinje, mkoani Lindi. nyuma yake ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma, na kulia Ali Mtopa.
Nape ameachiwa shughuli za chama peke yake? Chiligati uko wapi? Nomba tuimbve wote mnaoipenda ccm:
ReplyDeleteCCM CCM,
Nakupenda kwa moyo woteeee,
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni kheri chama weee,
CCM CCM,
Jina lako ni tamu sana.
Chorus:
CCM CCM,
Nkupenda kwa moyo wote.
wewe nani kakwambia kama kilwa kivinje mji mdogo?kuwa makini na maandishi yako soma habari za kilwa halafu ndio useme mdogo au mkubwa,nimaturudisha nyuma kila siku kwa hayo maandishi ya siona ukweli
ReplyDeletepiga kazi mwanaume !
ReplyDelete