Kaka Michuzi pole ka kazi,
Naomba kama utaona inafaa unipeperushie haka ka ujumbe kangu kwenye blog yetu ya jamii, nikiamini kuwa inasomwa na watu wengi na wa rika tofauti.
Ninaishi hapa ulaya,nina miaka 40 sasa, na kwa sasa ninasoma MA ya biashara na utawala katika chuo cha Tilburg hapa Holland. Ningependa kupata mwanamke/ mwenza wangu wa maisha,tatizo ninatak amwanamke wa kutoka nyumbani. Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 30- 35.
Kwa yoyote atakependa kuwasiliana na mimi email yangu ni johnboko@ymail.com toka hapo tutawasaliana zaidi
ASANTE SANA KAKA.
jamani inamaana sisi wa under 30 umetutenga?haya kaka mafanikio mema.ngoja tusubiri wanaohitaji wa <30
ReplyDeleteNenda Facebook jitambulishe huko...watakuona wewe kwa picha nawe utawaona kwa picha!!...facebook ni suluhisho lako bro! Kila la heri!!
ReplyDeleteJe uholanzi unaishi kama nani? Je unamalengo gani baada ya kumaliza masomo? Je utaishi nae wapi huyo mchumba?
ReplyDeletenjoo zako BELGIE wapo kibao kutoka nyumbani ..............
ReplyDeleteBELGIE!!!
ReplyDeleteDuh,mwanangu hiyi age yote ulikuwa wapi kuoa? Hili ndo tatizo la wasomi, mnang'ang'ania sana laptop hadi mnasahau kuwa kuna social life. Tazama sasa unaanza kutafuta mchumba kwenye internet! Na usipokuwa makini mtaachania huko huko kwenye internet!
ReplyDeleteunaitwa nani?kama vile nakufaham
ReplyDeleteendelea kupiga ngunga mjomba mwanamke atakutia wazimu na elimu yako ya uzeeni. mtu hatafutiwi mke utletewa tasa au totosa ulaumu watu. piga ngunga mjomba ndo solution!!!teh teh teheeeeeeeee
ReplyDeleteMie nina miaka 42 naishi USA utanitaka???
ReplyDelete