![]() |
Meneja Masoko wa Benki ya Exim Tanzania Linda Chiza(kushoto) akipeana mkono na Rais wa Lions Club Tanzania Frank Goyayi wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi ya milioni moja kutoka benki hiyo kuchangia matibabu ya wagonjwa wa macho nchini.Katikati ni Mama Salma Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi na wa pili kushoto ni Meneja Mkuu wa Benki ya Exim dinesh Arora na kulia ni Mkurugenzi wa benki hiyo Hanif Jaffer |
Home
Unlabelled
Onyesho ‘Fashion 4 Vision’ lakusanya 15m/-
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...