![]() |
| Princess Samantha |
Mtoto wetu leo ametimiza miaka miwili tangu azaliwe pale Hospitali ya Agha Khan saa 3 asubuhi. Napeleka shukrani zangu kwa Mungu mwenyezi, Dr Shafiq wa hospitali ya Aga Khan aliyemfanyia operesheni mke wangu na kuwezesha haya yote pamoja na ndugu na marafiki wote kwa sala na baraka zenu mpaka mtoto huyu kufikia miaka miwili.
Ahsanteni,
Mr & Mrs Edwin Mac Temba



Mr & Mrs Temba, Mungu azidi kuwabariki, mumlee Princesss Samantha kwa upendo na kumcha Mungu. I can imagine how you fee.
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY PRINCESS SAMANTHA!
[FATHER'S DAUGHTER]
Mr.& Mrs. Temba, Hongereni sana na Mungu awatangulie katika kumlea mtoto wenu katika maadili mema na kwa upendo.. na awazidishie watoto wengi zaidi kw kadri apendavyo yeye....
ReplyDeleteOne and only
Originated from Titanic Flat