Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amepokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kutuhumiwa kuiba makochi na kitanda katika nyumba moja iliyopo mtaa wa Kiusa katika manispaa ya Moshi.Hata hivyo kijana huyo aliokolewa na askari polisi waliokuwa wakifanya doria kama inavyoonesha pichani juu. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.
Kijana akisindikizwa kituoni baada ya kuokolewa
Akiwa mikononi mwa polisi
Askari wa doria waokoa maisha yake
Kijana akila kipigo kabla ya polisi wa doria kumuokoa
Mbona misi menyewe hatoki midamu? mnampiga kwa mikono mitupu? tangu lini misi akapigwa hivyo? kipigo cha mwizi ni MATOFALI
ReplyDelete