Keki ya Sherehe ya Uzinduzi wa ASEKI BUSINESS SCHOOL iliyoko Dodoma ikitaka kukatwa wikiendi hii. Kutoka kulia: Naibu Katibu Mkuu Biashara, Viwanda na Masoko Bw. Shaaban Mwinjaka, Mkuu wa Chuo Mwl. Omari Kiputiputi, Mwenyekiti wa Bodi ya MItihani ya Chuo, Balozi Mstaafu Mzee Job Lusinde na Mama Manase Mjumbe Bodi ya Wakurugenzi
Wadau katika mnuso huo
Keki ya sherehe
Wadau mnusoni
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...