Baadhi ya Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu pamoja Taasisi za Elimu ya Juu na pia Viongozi wa Klabu za Wapinga vita Rushwa kutoka Vyuo 15 nchini wakiwa katika warsha ya siku mbili iliyohusu kupambana na rushwa iliyofanyika Mkoani Morogoro
Mratibu wa NACSAP II Kanda ya Mashariki ya Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro kutoka Makao Makuu ya Takukuru, Joyce Shundi, ( kulia) akisisitiza jambo wakati akifungua warsha ya kupambana na Rushwa kwa Viongozi wa Serikali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu na wa Klabu za kupinga Vita Rushwa katika Vyuo Vikuu pamoja na Taasisi za Elimu ya Juu nchini ,( hawapo pichani ) ambayo iliandaliwa na Taasisi hiyo mkoani Morogoro. Picha na John Nditi.




Who is watching who?
ReplyDelete