Wachezaji wa timu ya Motema Pembe itakayomenyana na Simba Jumapili wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, wakiwa akwenye Uwaja wa Ndege wa Kimataifa ya Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuawasili leo jioni. 
Mmoja wa wachezaji wa Motema Pembe akificha sura mbele ya kamera ya Nkoromo Daily Blog, timu hiyo ilipowasili leo jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Haikuweza kufahamika kwa nini aliamua kufanya hivyo pengine kikwao ina maana fulani. Picha na Bashir Nkoromo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2011

    alikuwa anatumia soda kama kiyoyozi kupooza joto kichwani wewe...!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...