Kaimu Mkurugenzi wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Juliana Matagiyasoda (wanne kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa Nahodha wa timu ya Wanawake (Twiga Stars),Sophia Mwasikili (kulia)wakati timu hiyo ilipokuwa ikiagwa leo katika ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) tayari kwa safari ya kweda jijini Harare,nchini Zimbabwe kushiriki mashindano ya COSOFA.Wengine pichani ni baadhi ya Viongozi wa timu na Wachezaji wa timu hiyo.
Katibu Mkuu wa TFF,Angetile Oseah akizungumza na vyombo vya habari mchana wa leo wakati wa kuiaga timu ya Taifa ya Wanawake Nchini (Twiga Stars) inayotarajiwa kuondoka kesho kuelekea nchini Zimbabwe kushiriki mashindano ya COSOFA.
Kaimu Mkurugenzi wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Juliana Matagiyasoda akizungumza na vyombo vya habari mchana wa leo.
Baadhi ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake nchini (Twiga Stars).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...