Mbunge wa Jimbo la Uzini Zanzibar na Mkurugenzi wa Zanzibar Media Corporation Seif Khatibu kulia akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi bora wa kike wa nyimbo za asilia Sada Mohamed mara baada ya kumkabidhi tunzo yake kwenye Zanzibar Music Award,zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mjumbe wa NEC Aisha Kigoda kulia akimkabidhi Tunzo msani bora chipukizi wa kike Sauna G kwenye Zanzibar Music Award,zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mwanamziki wa kizazi kipya Baby J akionysha Tunzo yake ya pili mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Zenj Fm.
Mwanamziki wa kizazi kipya Baby J akiwa ameshikilia Tunzo yake aliyejinyakulia kwenye Zanzibar Music Award 2011, kuwa mwanamziki bora wa kike wa muziki wa kizazi kipya ,zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania,kulia ni Hagai Samson aliyemkabidhi tunzo hiyo.
Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Zanzibar Mohamed Mansour kulia akimkabidhi Tunzo Mwanamziki bora wa kiume wa nyimbo za kizazi kipya Juma Twenty kwenye Zanzibar Music Award,zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Aaah tamaduni zetu za mwambao hatuziachi kata kidogo kwenye Zanzibar Music Award tunaburudisha.
Baadhi ya masharobaroz walioudhuria Zanzibar music award.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2011

    its nice to see uor mzee Khatib back is good shape!!! lokkin great. alhamdullilah.

    mdau Walsall. uk

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2011

    Kweli kiingiapo mjini....... Hizi miwani za jua zinavaliwa mchana kutwa usiku kucha hazivuliwi mpaka kitandani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2011

    Sharobaro maana yake nini?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2011

    Teh teh teh masharobaro na miwani meusi na pose za kushika videvu huku juice za Bakhresa kwa kwenda mbele. hao vijana nadhani wana matatatizo na mwanga wa taa ndio maana wamevaa miwani ya jua usiku.kweli Bongo tambarare.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2011

    Safi sana. Ni vizuri kuona mtiririko/continuity kati ya vizazi tofauti vya wasanii. Hata hivyo natumai wana-Zenji wataendelea kuthamini sanaa mila na desturi zao kuliko usasa feki kama huku kwetu bara. Mwaka jana ndipo nilifika Unguja kwa mara ya kwanza nilipokuja na wanafunzi wa chuo chetu NJ USA na I was pleasantly surprised kuona jinsi utamaduni wa wenzetu ulivyo tajiri: kwenye mapishi, sanaa na ufundi, michezo ya jadi, fasihi simulizi, sanaa za maonyesho, mila na desturi (nilkuwa huko wakati wa sherehe ya koga mwaka Makunduchi) ngoma ya kibuki, etc, etc, etc. Kwa sisi wa bara iko haja nasi kuanza kufufua na kukuza sanaa, mila na desturi zetu ambazo kila kukicha zinazidi kupotea. Mangi wa ughaibuni.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2011

    Mashallah mama na baba wapo pamoja ktk tunzo.... hiii ni uNEC au uWIFE na husband... hongereni sana mmependeza wenyewe.....Next year wawepo na watoto wenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...