Spika Makinda akiwa kwenye mazungumzo ofisini kwake Dodoma leo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ireland Mhe. Eamon Gilmore. Mhe. Gilmore ameipongeza Tanzania kwa kuchukua hatua za kuandika Katiba Mpya.


 Ujumbe wa Msafara wa Mhe. Gilmore ukifuatilia kikao hicho kwa umakini. Kutoka kushoto ni Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Loscan Fullan, Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Ireland (Irish Aid) Bwana Brendan Rogers na Mshauri wa Mhe. Gilmore Bi. Jean O’Mahony.

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia) akizungumza na Waheshimiwa Wabunge la Afrika Mashariki walipomtembelea Ofisini kwake Dodoma leo kwa lengo la kuwasilisha ripoti ya mwaka. Kutoka kushoto ni Mhe. Abdallah Mwinyi, Mhe. Janeth Mmary na Mhe. Amani W. Kabouru
Picha na Mdau Prosper Minja. 
Mtembelee kwenye libeneke lake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...