MENEJA WA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF) KANDA YA PWANI BI ROSE ONGARA AKIMFARIJI KWA KUMPATIA SABUNI MAMA ALIYELAZWA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO IKIWA NI UTARATIBU WA WANA NHIF KUWAFIKIA WANACHAMA NA WADAU WAHITAJI NI BAADA YA MAFUNZO YA SEMINA ELEKEZI YA MABORESHO YA HUDUMA KWA MTEJA KWA WATUMISHI WA IDARA YA UANACHAMA
MKUU WA IDARA YA UANACHAMA WA NHIF BI FROLAH MATABA NA OFISA WA IDARA HIYO BI ATULINDE BITEYA WAKIKABIDHI JUISI NA VITU MBALIMBALI KWA AKINA MAMA NA WATOTO WALIOLAZWA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO KAMA SEHEMU YA KUJITOLEA KWENYE JAMII AMBAYO WAHITAJI WAMEKUWA WAKIONGEZEKA KILA SIKU.
BAADA YA KUPATA MAFUNZO MOJA KWA MOJA KWENYE WODI YA WATOTO WAHITAJI NA KUANZA KUFANYA KWA VITENDO JINSI YA KUMKARIMU MTEJA NI BI PHIDEA BAISI AFISA WA IDARA YA UANACHAMA WA NHIF AKIWA NDANI YA WODI YA WATOTO YA MKOA WA MOROGORO.
PICHA NA MDAU PAUL MARENGA WA NHIF.
PICHA NA MDAU PAUL MARENGA WA NHIF.





Tuwe wa kweli kwa Mungu na kwa jamii kweli hawa wagonjwa wanahitaji hizi poda za miatano, sabuni na vijuice artificial.
ReplyDeleteVitawaongezea nini. Hela mnazokusanya ni zaidi ya hiki mnachofanya