Baadhi ya Wanasheria wa Wizara mbalimbali za Serikali, Taasisi za Serikali na Asasi za Kiraia pamoja na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, wakimsililiza mgeni rasmi , ( hayupo pichani) wakati wa warsha ya siku tatu ya kujadili na kuthibitisha michango mbalimbali ya wanataaluma hao iliyotolewa kama taarifa ili kufikia hatua ya mwisho kabla ya kuwasilishwa Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu , Geneva,Uswiss  Julai 12, mwaka huu.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...