Home
Unlabelled
watuhumiwa ulanguzi wa viwanja wafikishwa kwa pilato leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
YES hawa ndio wanaoumiza wananchi wa Tanzania!!
ReplyDeleteWakati unawadhulumu haki zao wananchi unawatolea macho. Ukifika kwa pilato macho chini kuangalia pembeni. Tutazamane sasa mbele ya pilato
ReplyDeleteWakifikishwa hahakamani safari nyingine tafadhari tupe majija yao. Wanapoficha nyuso zao inaonyesha wazi kuwa wametenda maovu (guilty).
ReplyDeleteWana makosa lakini sheria za Tanzania hazisimamiwi ipasavyo ndio maana hawakupata woga wowote katika kudhulumu viwanja. Tanzania ukishakuwa na wadhfa wa juu ujue sheria iko chini yako. Wanaosumbuliwa na hawa wasiokuwa na nyidhfa za juu. Sijui kama tutafika. Na hata hao mnaowaona wapo mahakamani msishangae kuona kesi inaendeshwa kwa miaka 5 halafu mwisho wa siku wanaonekan hawakuwa na hatia.
ReplyDeleteHao ni hatari sana wanauza kiwanja kimoja kwa watu zaidi ya wawili
ReplyDeletesasa subilini sheria ifate mkondo wake
kuna mkurugenzi pale mwananyamala alinisumbua sana kisa shamba letu hataki kupima viwanja anasema wizara itakuja kupima maana hipo kwenye plan so msijenge kwanza, leo nasikia kuna kigogo kajenga kitu kimesimama nashangaa kapataje hati wakati wenye shamba hata hatuna ila vidhibiti vyote tunavyo yaani natamani nikirudi nije na boom nimlipue nikimjua, akashindwa kunisaidia nikasafiri sasa mwaka wa 3 nipo nje, ila narudi soon. wafungwe hawa jamaa wanasababisha watu wanauwana bure tu.
ReplyDelete