Maofisa wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wa Manispaa ya Kinondoni, wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Kinondoni jijini  Dar es Salaamleo  ambapo walisomewa mashitaka 45 na TAKUKURU ya kutoa taarifa za uongo na kutumia vibaya madaraka yao na kujipatia ardhi kinyume cha sheria. Wote wako nje kwa dhamana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2011

    YES hawa ndio wanaoumiza wananchi wa Tanzania!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2011

    Wakati unawadhulumu haki zao wananchi unawatolea macho. Ukifika kwa pilato macho chini kuangalia pembeni. Tutazamane sasa mbele ya pilato

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2011

    Wakifikishwa hahakamani safari nyingine tafadhari tupe majija yao. Wanapoficha nyuso zao inaonyesha wazi kuwa wametenda maovu (guilty).

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2011

    Wana makosa lakini sheria za Tanzania hazisimamiwi ipasavyo ndio maana hawakupata woga wowote katika kudhulumu viwanja. Tanzania ukishakuwa na wadhfa wa juu ujue sheria iko chini yako. Wanaosumbuliwa na hawa wasiokuwa na nyidhfa za juu. Sijui kama tutafika. Na hata hao mnaowaona wapo mahakamani msishangae kuona kesi inaendeshwa kwa miaka 5 halafu mwisho wa siku wanaonekan hawakuwa na hatia.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2011

    Hao ni hatari sana wanauza kiwanja kimoja kwa watu zaidi ya wawili
    sasa subilini sheria ifate mkondo wake

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 29, 2011

    kuna mkurugenzi pale mwananyamala alinisumbua sana kisa shamba letu hataki kupima viwanja anasema wizara itakuja kupima maana hipo kwenye plan so msijenge kwanza, leo nasikia kuna kigogo kajenga kitu kimesimama nashangaa kapataje hati wakati wenye shamba hata hatuna ila vidhibiti vyote tunavyo yaani natamani nikirudi nije na boom nimlipue nikimjua, akashindwa kunisaidia nikasafiri sasa mwaka wa 3 nipo nje, ila narudi soon. wafungwe hawa jamaa wanasababisha watu wanauwana bure tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...