Vodacom Miss Pwani  2011 Winifrida Gracian katikati akiwa na mshindi wa pili Thuraiya Dabas(kushoto) na mshindi watatu Mariaclara Mathayo kwenye shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Warembo tano bora waliotinga katika kinyanganyiro cha Vodacom Miss Pwani,shindano hilo lilifanyika hapo jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Afisa tawala Wilaya ya Bagamoyo Daniel Machunda akimkabidhi zawadi ya shilingi 250,000 mshindi wa Vodacom Miss Pwani Winifrida Gracian mara baada ya kunyakua taji la shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude kulia akimkabidhi zawadi ya shilingi 100,000 mshindi wa tatu Mariaclara Mathayo,shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto,Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude,Rahma Kaude,John Kilindo wakifatilia shindano la Vodacom Miss Pwani hapo jana ambapo Winifrida Gracian alinyakua taji hilo,shindano hilo lilifanyika katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2011

    Hongereni sana ila jamani ninasikitika maanake naona tumezidi kuiga . Maandili yamemomonyoka. Nguo ziko wazi mno . haipendezi kabisa kuacha tumbo. Najua mtaniona mshamba ila . inafurahisha ukidumisha maadili ya kiafrika. Tusiige kila kitu
    mdau ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...