Ankal akiwa na mwenyeji wake DJ Luke Joe mitaani Washington DC, Marekani |
Ankal akila konozzz na afisa ubalozi alipopita kusalimia ubalozini Washington DC
Ankal na maafisa wa ubalozi
![]() |
Ankal akitalii DC |
Ankal akiwa na Afisa Ubalozi wetu Washington DC Suleiman Saleh leo mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Ronald Reagan National Airport kwa vekesheni ya siku kadhaa ughaibuni akiwa na ze fulanazzz urijino ambayo kuna wakati ilizushiwa kuibwa ama kupotea ama kusahaulika wakati ndio sare ya vekesheni
harafu !Heti ! tusikie fulanazi watu wamefika bei,
ReplyDeletetutakuja kumvua mtu mitaani,watu watuone hatuna nidhamu,
hivyo hivyo ulivyoenda nayo na ndio urudi nayo hivyo hivyo,
tena Ankal ! chonde chonde ! Fulanazi usimpe mtu yeyote kukufulia,
wakaweza kuiharibu..
likizo njema
wadau
FFU Ughaibuni
Ankal mimi nashauri utafute copy ya hiyo ze fulanazz cuz hiyo imechakaa sana.
ReplyDeleteKaribu Anko,
ReplyDeleteMwakipesile
Dah airport ya DC bora hata ya JK nyerere. sikai DC lakini airport ipo kushoto kinoma. Airport kama Drive thru za MCDonald hahahaha...Karibu Marekani anko
ReplyDeletekaoshe macho mwaya.ila nawatahadharisha watakaomkaribisha wahakikishe hawaachani na bakora mgongoni make mmmhh ukizubaa konozzzzz zinatembea kwa vipusa vya watu.
ReplyDeleteNAONA ANKO MCHANGANYIKO WA KUFA BATA. CHINI MOKACINI, JEANS, THE FULANAZZ, NA JUU KAPERO. KWELI WEWE NOMA HATA 50CENT HAONI NDANI. YANI WEWE NI ANKO OF THE ANKOS.
ReplyDeletekaribu sana Anko. huku kuna umeme angalao utapata maji moto ya kuoga..hahahaaa
ReplyDeleteAnko wako
Mwakipesile
Kuna mkubwa karibuni atakuwa na ziara ya kuzuru Marekani?
ReplyDeletekaribu sana bwana michuzi. pole kwa hilo joto la jahanam lililoko hivi sasa.
ReplyDeleteANKAL
ReplyDeletePliz kama hutamind njoo ndani ya jiji la Nyu-yoku (BIG APPLE) ni dola ishirini tu kutoka hapo ulipo.
Tutakupeleka times square upige picha halisi siyo zile za kuedit on on adobe.
asante
da mjomba nimependa fulanazi na jinsi kama ulijua hali ya hewa vile… basi ukiwa huko jaribu kumtafuta yule kiumbe anaitwa steve jobs mwambia aje afungue big apple store bongo sawa mjomba usisahau na utulete ka ipad, kaiphoni sawa eeehe sawa
ReplyDeleteHiyo fulana sasa imechakaa nahisi itakuwa inanuka kikwapa...sio sifa na wewe umeshaivaa sana hebu vua au tafuta nyingine. kama unashindwa tafuta wadau wakuchangie kidogo..
ReplyDeleteMgao wa umeme unawafanya baadhi ya watu kukumbilia nje wakijidai wako vekeshi. hehe hehe. Hapo ulipo ukikatika kwa dakika moja tuu, watu wanaachia ngaza wakati kwetu.... Enjoy your holiday bro. By the way, usi hack simu ya mtu.
ReplyDelete....umekimbia mfungo ukajichanganye na ma-burger!! hahahahahh
ReplyDeleteKaka jitahidi ufanye mazoezi Kaka. Si mwenyewe unacheki KIFRIJI hicho kinavyochomoza?
ReplyDeleteFanya mazoezi upunguze kiSACCOS hicho mwanangu!
Hiyo W DC au ni wapi?Bora ungekwenda Ifakara ukala kambale na Kitoga.Mbona siyo pazuri hapo?Au ulifata jina na si sehemu nzuri ya kupumzika?
ReplyDeleteFULANASSSSSSSSSSSSSSSSSSSS FULANASSSSSSSSSS FULANASSSSSSS
ReplyDeletenaomba kuuliza hiyo t shirt ni uniform au???
ReplyDeleteHaaaaaaaa HAAAAAAAAAA HAAAAAAAA UUUUIIIII Mwaliko wa mama.kahamia US na we upepo huko huko.Mshike sana mama
ReplyDeleteMichuzi lazima atakuwa na flana kama 10 za aina hii sio mjinga kiasi hiki cha kuvaa flana moja kila siku!!!!
ReplyDelete