Ankal akiwa na mwenyeji wake DJ Luke Joe mitaani Washington DC, Marekani
 Ankal akila konozzz na afisa ubalozi alipopita kusalimia ubalozini Washington DC
 Ankal na maafisa wa ubalozi
Ankal akitalii DC
Ankal akiwa na Afisa Ubalozi wetu Washington DC Suleiman Saleh leo mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Ronald Reagan National Airport kwa vekesheni ya siku kadhaa ughaibuni akiwa na ze fulanazzz urijino ambayo kuna wakati ilizushiwa kuibwa ama kupotea ama kusahaulika wakati ndio sare ya vekesheni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2011

    harafu !Heti ! tusikie fulanazi watu wamefika bei,
    tutakuja kumvua mtu mitaani,watu watuone hatuna nidhamu,
    hivyo hivyo ulivyoenda nayo na ndio urudi nayo hivyo hivyo,
    tena Ankal ! chonde chonde ! Fulanazi usimpe mtu yeyote kukufulia,
    wakaweza kuiharibu..
    likizo njema
    wadau
    FFU Ughaibuni

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2011

    Ankal mimi nashauri utafute copy ya hiyo ze fulanazz cuz hiyo imechakaa sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2011

    Karibu Anko,
    Mwakipesile

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2011

    Dah airport ya DC bora hata ya JK nyerere. sikai DC lakini airport ipo kushoto kinoma. Airport kama Drive thru za MCDonald hahahaha...Karibu Marekani anko

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2011

    kaoshe macho mwaya.ila nawatahadharisha watakaomkaribisha wahakikishe hawaachani na bakora mgongoni make mmmhh ukizubaa konozzzzz zinatembea kwa vipusa vya watu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2011

    NAONA ANKO MCHANGANYIKO WA KUFA BATA. CHINI MOKACINI, JEANS, THE FULANAZZ, NA JUU KAPERO. KWELI WEWE NOMA HATA 50CENT HAONI NDANI. YANI WEWE NI ANKO OF THE ANKOS.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 29, 2011

    karibu sana Anko. huku kuna umeme angalao utapata maji moto ya kuoga..hahahaaa
    Anko wako
    Mwakipesile

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 29, 2011

    Kuna mkubwa karibuni atakuwa na ziara ya kuzuru Marekani?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 29, 2011

    karibu sana bwana michuzi. pole kwa hilo joto la jahanam lililoko hivi sasa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 29, 2011

    ANKAL
    Pliz kama hutamind njoo ndani ya jiji la Nyu-yoku (BIG APPLE) ni dola ishirini tu kutoka hapo ulipo.
    Tutakupeleka times square upige picha halisi siyo zile za kuedit on on adobe.
    asante

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 29, 2011

    da mjomba nimependa fulanazi na jinsi kama ulijua hali ya hewa vile… basi ukiwa huko jaribu kumtafuta yule kiumbe anaitwa steve jobs mwambia aje afungue big apple store bongo sawa mjomba usisahau na utulete ka ipad, kaiphoni sawa eeehe sawa

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 29, 2011

    Hiyo fulana sasa imechakaa nahisi itakuwa inanuka kikwapa...sio sifa na wewe umeshaivaa sana hebu vua au tafuta nyingine. kama unashindwa tafuta wadau wakuchangie kidogo..

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 29, 2011

    Mgao wa umeme unawafanya baadhi ya watu kukumbilia nje wakijidai wako vekeshi. hehe hehe. Hapo ulipo ukikatika kwa dakika moja tuu, watu wanaachia ngaza wakati kwetu.... Enjoy your holiday bro. By the way, usi hack simu ya mtu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 29, 2011

    ....umekimbia mfungo ukajichanganye na ma-burger!! hahahahahh

    ReplyDelete
  15. Kaka jitahidi ufanye mazoezi Kaka. Si mwenyewe unacheki KIFRIJI hicho kinavyochomoza?

    Fanya mazoezi upunguze kiSACCOS hicho mwanangu!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 29, 2011

    Hiyo W DC au ni wapi?Bora ungekwenda Ifakara ukala kambale na Kitoga.Mbona siyo pazuri hapo?Au ulifata jina na si sehemu nzuri ya kupumzika?

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 29, 2011

    FULANASSSSSSSSSSSSSSSSSSSS FULANASSSSSSSSSS FULANASSSSSSS

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 29, 2011

    naomba kuuliza hiyo t shirt ni uniform au???

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 29, 2011

    Haaaaaaaa HAAAAAAAAAA HAAAAAAAA UUUUIIIII Mwaliko wa mama.kahamia US na we upepo huko huko.Mshike sana mama

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 30, 2011

    Michuzi lazima atakuwa na flana kama 10 za aina hii sio mjinga kiasi hiki cha kuvaa flana moja kila siku!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...