Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaroi Nyalandu (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru katika  hafla ya utoaji tuzo za kampuni Bora 100 za kati
zilizoandaliwa na MCL na Kampuni ya Ushauri na Ukaguzi ya KPMG jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ukumbi wa Mlimani City jijini Dar. NBC ilikuwa mdhamini mkuu wa tuzo hizo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kushoto) akikabidhi tuzo kwa Hadija Mdoe ambaye kampuni yao ya Efam Ltd iliibuka washindi wa tano  katika hafla ya utoaji tuzo za kampuni Bora
100 za kati zilizoandaliwa na MCL na Kampuni ya Ushauri na Ukaguzi ya KPMG jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. NBC ilikuwa mdhamini mkuu wa tuzo hizo. Kulia ni John Ihagula pia kutoka Efam.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu  akimpongeza John  Bula wa kampuni ya ujenzi ya  BQ Contractors baada ya kuibuka washindi wa kwanza wa Tuzo za Makampuni Bora 100 ya Kati zilizoandaliwa na MCL na Kampuni ya Ushauri na Ukaguzi ya KPMG jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. NBC ilikuwa mdhamini mkuu wa tuzo hizo. Kulia ni mke wa Bula, Sheila Bula.
Baadhi ya maofisa wa NBC katika hafla ya utoaji tuzo za kampuni Bora 100 za kati zilizoandaliwa na MCL na Kampuni ya Ushauri na Ukaguzi ya KPMG jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. NBC ilikuwa mdhamini mkuu wa tuzo hizo.
Ni wakati wa kuishambulia sakafu mara baada ya washindi wa tuzo za makampuni 100 bora ya kati kukabidhiwa tuzo zao katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru ambaye benki yake ilikuwa mdhamini wa tuzo hizo.
Kikundi cha sanaa cha Tanzania House of Talent (THT) kikitoa burudani  katika hafla ya utoaji tuzo za kampuni Bora 100 za kati zilizoandaliwa na MCL na Kampuni ya Ushauri na Ukaguzi ya KPMG jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. NBC ilikuwa mdhamini mkuu wa tuzo hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...