Waombolezaji msibani
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi akiongoza mamia ya waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa mpiganaji Danny Mwakileko leo nyumbani kwake Tabata Chang'ombe kab la mwili wake haujasafirishwa kuelekea Mwakaleli, Tukuyu mkoani Mbeya, kwa mazishi. Danny alifariki siku mbili zilizopita kufuatia ajali ya gari
Wadau mbalimbali msibani
Wahariri wakiwa tayari kutoa mwili wa marehemu
![]() |
Safari inaanza
Mbunge wa Bumbuli mh. January Makamba akitoa heshima zake |
Askari akiaga kijeshi |
MATUKIO KAMA HAYA YANATUPA FUNDISHO KUBWA LA KUMRUDIA MUNGU NA KUJUA KUWA SISI SI CHOCHOTE DUNIANI.HASA KIPINDI HIKI KIGUMU KATIKA MUSTAKABALI WA TAIFA INABIDI SISI VIONGOZI TUONE KUWA VYOTE TUNAVIACHA KATIKA SEKUNDE MOJA NA HAVITATUFUATA KAMWE.SOTE TUTARUDI MAVUMBINI TU.MUNGU AILAZE MAHALI PEMA MPENDWA WETU ALIYETWALIWA.
ReplyDelete