Mwanamitindo wa Kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata,  akiwa amepozi na Mwanamuziki nyota wa Kimataifa katika miondoko ya R&B kutoka nchini Marekani Usher Raymond walipokutana kwenye shoo moja hivi karibuni.Picha kwa hisani ya Moblog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2011

    kimuonekano usher kafanana na bushmen(the gods must be crizy).

    pozi zuri. ni wapi huko?

    ReplyDelete
  2. favian matata!! hakika unatuwakilisha wabongo...mimi ni kaka yako wa mwasele shinyanga...du mpaka usher...yule wa us ama naota...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2011

    THe girl is cool ndio maana anazidi kufanikiwa. Tulia hivo hivo sister; wewe kweli unapeperusha bendera si hawa wengine mamiss uchwara

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2011

    we anony utaishia hilo hilo tu, eti Usher kafanana na bushmen,wewe umefanana na nani? mkiitwa monkey na wazungu mnakasirika lakini ndo wakwanza kudiscriminate your own kind! grow up..
    ps;wakati unaendelea kufananisha, wenzio wanakula bata kwa kwenda mbele. Na huyo Usher anaweza kukununua kwa jinsi alivyo na hela ndefu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 25, 2011

    lol,eti usher kafanana na bushmen,wabongo kiboko

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 25, 2011

    Wamekaa kama couples vile. Flaviana unavutia kuliko usher hapo. Natural beauty at its best. Great yaani hakuna hata wanja alfu umetoka chichaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 25, 2011

    Sio couple jamani...Flaviana si yupo na Russell Sermon?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...