![]() |
Kamanda wa Polisi Mkoa WaMbeya Advocate Nyombi akisisitiza kuwa sheria itachukua mkondo dhidi ya i Mbunge huyo na taratibu zote za dhamana zipo wazi |
Usiku wa jana Baada ya Mh. Joseph Mbilinyi kukamatwa |
Mbunge wa Mbeya Mjini Mh.Joseph Mbilinyi(SUGU) alikamatwa jana jioni na Polisi mkoani Mbeya akidaiwa kufanya Mkutano wa hadhara maeneo ya uwanja wa Ruanda Nzovwe bila kibali cha jeshi hilo. Alinyimwa dhamana na kubaki rumande .
.Mh Sugu akiondoka kituo cha polisi mbeya. Habari ya bonanza la sugu ambalo lilikua lifanyike leo kwenye viwanja vya Luanda nzovwe zinasema limesimamisha kwa sababu halina kibali habari zaidi juu ya bonanza hilo tutawaletea baadae
Mh Sugu akihojiwa na waandishi wa habari hapo kituoni mara baada ya kutolewa rumande leo
Mh Sugu mara baada ya kutolewa rumande. Picha na Mbeya Yetu Blog
HATIMAE MBUNGE WA MBEYA AKAMATWA, AACHIWA NDIO KITU GANI SASA KWENYE SENTENSI HII?? HATIMAE HIYO YA FURAHA KUKAMATWA KWAKE AU KUACHIWA KWAKE? USIBANIE COMMENT.
ReplyDeleteOk Mshaona makosa vizuri, mshabadilisha vizuri.
ReplyDeleteTanzania kuna mambo ya ajabu ajabu sana na kamwe tutaendelea kukandamizwa mpaka mwisho.mimi sijaona sababu ya SUGU kukamatwa yaani ni fitna tu za watu wachache amboa hawapendi maendeleo.binafsi nimekerwa sana na tunapoelekea ni GIZA.SUGU kukataza Fiesta isifanyike MBEYA ndio chanzo cha yote haya Dahhh inasikitisha sana.Na nyie POLISI acheni kufanya kazi Kinafiki,hizo Njaa zenu zitawapeleka kubaya sana.Haya bania na hii MICHUZI.
ReplyDeleteSUGU MOTOCHINI EEEEEH, SUGU MOTO CHINI AAAAAH, AAAAAAAH AAAAAAH AAAAAAH......
ReplyDeleteKAMUA SUGU, NAKUAMINIA MWANANGU.
KWANI KUNA TATIZO GANI YY AKIENDELEA NA BONANZA LAKE NA WAO NA FIESTA YAO?
YANI SHERIA ZOTE ZINAFANYA KAZI VIZURI SANA UPINZANI WANAPOKOSA. DUUU KWELI HII NOMA.
ReplyDeleteSheria ni msumeno. Hakuna aliye juu ya sheria. Hakuna cha Sugu wala nani. Wote wako chini ya sheria. Yeye kwa nini hakuomba kibali cha mkutano???????????? Acheni sheria ichue mkondo wake.
ReplyDeleteJe kwenye mhadhara huo kuna uvunjifu wa amani wowote ulitokea? Sheria za vibali hazina maana yoyote
ReplyDeleteKAVUNJA SHERIA MWACHE AKAMATWE NA YEYE ANATAKA KUFANYA TAMASHA LAKE MAKUSUDI APATE KUUA TAMASHA MOJA,SASA KWANINI ASISUBIRI MOJA LIKAISHA AKAFANYA LAKE KAMA KWELI ANA MAMBO YA KUTAKA KUWAKILISHA
ReplyDeleteASHAJIONA HAPENDWI KISHA ANAFANYA MAMBO YA KITOTO NA HUO UBUNGE WAKE NAONA KESHO KUTWA ATAVULIWA AMESHAKUA NA UTOVU WA NIDHAMU WATU WATAMPEKULIA SHERIA AJIONE AMSEHAPELEKWA MAHAKAMANI NA CCM NA ASHAAMBIWA AJIUZULU.
KILA SIKU CUF WANAKAMATWA
na hao fisadi wanaoiba pesa za walipa kodi mbona hatuwaoni wakikamatwa? au hapo sheria haioni kama inatakiwa ichukuwe mkondo wake??? mmh strange!! nyie CCM msifanye watu wajinga, watanzania hawapendi shari! hii ni kumu enzi baba wa Taifa.. sasa nyie CCM na Viongozi wake mna take advantage of people and abuse busara waliokuwa nazo!! SHAME ON YOU! SHAME ON YOU! YOU will pay for this one day. Tz haina tofauti na Libya n.k.. eti tuna democracy! democracy my feet!!!
ReplyDeleteMICHUZI UKIITOA HII SAWA USIPOITOA SAWA.
ReplyDeleteTATIZO LA KUVUTA BANGI MATOKEO YAKE HAIISHI KICHWANI HADI MIAKA 30 HAYO NDO YANAMFANYA SUGU AJIONE SUGU.
analeta usugu wake mbele ya sheria .....aende zako huko na bonanza lake la chuki binafsi...wenzake wanafanya biashara yeye analeta visa na kuvunja sheria ...weka ndani kabisa....mbunge gani ana mambo ya kipuuzi hivi.? hawa chadema sijui kama huwa wanafanya analysis kabla ya kusimamisha mbunge?? haya sasa eti mbunge anapinga fiesta kweli wamekosa kazi za kufanya ...na hapati tena ubunge awamu ijayo...
ReplyDeletemdau mbeya