WANANCHI NA WASAMARIA WEMA WAKIMSADIA DEREVA WA GARI HILI LA AINA YA SUZUKI ESCUDO KUITOA KATIKA MLANGO WA ZANZIBAR DOOR BAADA YA KUGONGA.
WANANCHI WAKIANGALIA KWA MSHANGAO MKUBWA GARI AINA YA SUZUKI MARA BAADA YA DEREVA WAKE KWENDA KUUGONGA MLANGO KATIKA MAENEO YA MJI MKONGWE ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2011

    .............WATOTO WA HUYO MZEE NI WAJEURI SANA (AJABU NI WAKIKE !)! INAWEZEKANA WALIMKOROFISHA JAMAA AKAAMUA KUGONGA MLANGO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...