Kenyatta Road, RTC Building, Opposite PPF plaza, P.O Box 3043, Mwanza,Tanzania.
Tel: 0282541410, Mob:+255 764 150544, +255 762 755 166, Fax: 0282541561
Mail: interzephatz@gmail.com, web.www.interzepha.com

Inter zepha Tanzania Limited ya jijini la mwanza imetoa zawadi kwa mshindi wa shindano la essay writing competition lililofanyika katika shule ya sekondari pamba ya jijini mwanza.shindalo hillo lilo wajumuisha wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 baada ya kampuni kufanya seminer ya ICT aweaness iliyofanyika tar 15 july na kutoa zoezi la kuandika essay juu ya umuhimu wa tekinolojiya ya habari na mawasiliano katika elimu na kuhaidi kutoa zawadi ya lap top kwa mshindi. interzepha inatoa pongezi kwa Mayala P mapinda wa kidato ya 5 CBG kwa kuwa mshindi wa shindalo hilo.pia tunatoa shukurani za dhat kwa wanafunzi wote walioshiriki.
Wanafunzi wa Pamba sekondari ya jiji Mwanza  wakisubiria kutangazwa kwa mshindi.
Afsa mauzo na masoko wa Inter zepha Tanzania Limited Mr.Hamisi S. Fupi  akitangaza mashindi
Walioshinda katika essay writing competition,kutoka kulia ni Renatus Hemed (head prefect) mshindi wa 3 ,Mayala P Mapinda mshindi wa 1 na samwel J Mtiba mshindi wa 2.
Afsa mauzo na masoko wa Inter zepha Tanzania Limited Mr.Hamisi S. Fupi akimpatia mshindi  wa kwanza Mayala p. Mapunda  zawadi ya laptop
Wanafunzi  akimpongenza mshindi Mayala P Mapinda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...