Msanii mahiri wa kucheza na Nyoka aitwaye kwa jina la kisanii Mango Star a.k.a Snake Man,akionesha kipaji chake cha kucheza na nyoka mkubwa kama uonavyo pichani usiku huu,kwenye hafla fupi ya chakula cha usiku na Mwanamuziki wa Marekani Ludacris,nyumbani kwa Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga.
Msanii Mango Star a.k.a Snake Man akiwa amepozi na Mwanamuziki Ludacris na joka lake.
Wadau Mbita na Kinje wakishoo love na Snake Man kwenye mnuso huo
![]() |
Ludacriss with his young tanzanian fans at the Kilimanjaro Kempinski. They are the Shelukindos (Jermaine and Bradley little one in orange) and the Makanis -Zadock with Zion |
hao watoto ni wa shelukindo barry white au?? naona forehead zao ziko sawa kama baba yao (kama ni baba yao au wadogo zake) afu luda kakucha kweli nategemea anaenjoy huko nilidhani kaletwa na kusaga ila naona ni watu wengine.
ReplyDeletegood job africa... tuone kama mnaweza kumleta Justin Bieber lol