Rais Dr. Jakaya Kikwete akifungua kitambaa kuashiria uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa ghala la Chama Cha Ushirika cha Tandahimba Newala (TANECU) mkoani Mtwara leo.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia wafanyakazi wa chama cha ushirika cha Tandahimba Newala na wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji jiwe la msingi la ghala la chama hicho lililojengwa katika mji wa Tandahimba.
Rais Dr. Jakaya Kikwete na Mke wake Mama Salma wakiangalia grade mbalimbali za korosho zilizozalishwa na kiwanda cha RVF kilichoko Tandahimba wakati walipokitembelea kiwanda hicho leo. Katikati ni Meneja uzalishaji wa kiwanda ndugu Lydia Amuli. PICHA NA JOHN LUKUWI
Huku kwa mama hii kitu ni bei juu. Sijui kwanini walimaji masikini?
ReplyDelete