Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mwanafunzi mlemavu Mohamed Mnatende, anayesoma kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Mustafa Sabodo iliyopo mjini Mtwara jana wakati Rais alipokwenda kuizindua shule hiyo.
Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamunyange(kushoto) akimuongoza Amiri jeshi mkuu Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kukagua na kutoa heshima katika makaburi 101 ya mashujaa wa vita vya Msumbiji leo  asubuhi wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya mashujaa iliyofanyika huko Naliendele mkoani Mtwara.

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wazee walioshiriki katika vita kuu vya vipi vya dunia  chini ya jeshi la mkoloni Picha zote na mdau Freddy Maro wa ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...