Mkuu wa Mkoa Mbeya John Mwakipesile akiweka ngao na mkuki katika mnara wa   kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya akiweka shada la maua katika mnara huo
Mwakilishi wa machifu wa mkoa wa mbeya akiweka shoka kuwakumbuka waliokufa vitani kipindi hicho
Mwanafunzi huyu ameziba masikio yake hakutaka kabisa kusikia sauti ya mizinga ilyokuwa inapigwa hapo
Wananchi mbalimbali walihudhuria siku hii ya kuwakumbuka mashujaa wetu. Picha za Mbeya na Globu dada ya Jamii - Mbeya Blog
,Mkurugenzi wa manispaa ya Songea Zakaria Nachoho,akitoa heshima katika mnara wa kumbukumbu wa mashujaa wa vita ya majimaji wakati wa siku ya mashujaa Nchini ambayo Kimkoa ilifanyika mjini Songea jana,
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt Christine Ishengoma wa pilikulia,akiwaongoza viongozi wenzake wa mkoa huo kutoa heshima zao wakati wa wimbo wa maombelezo ukipigwa katika siku ya makumbusho mjin Songea jana,wengine  kaimu katibu tawala wa mkoa dkt Anslem Tarimo kulia kaimu Mkuu wqa brigedi ya 401 songea kanali Justace Jeremiah Fulla na wa pili kulia mkurugenzi waanispaa ya songea zakaria Nachoho,
Shekhe mkuu wa mkoa wa Ruvuma Shaban Mbaya akisoma dua kuwaombea mashujaa walioppigana vita wakati wa ukoloni kwenye sherehe ya mashujaa iliyofanyika mjini songea jana,
Askari wa jeshi la ulinzi la wananchi tanzania(jwtz)wakitoka nje ya viwanja vya mashujaa mjini Songea baada ya kumalizika kwa sherehe ya siku ya mashujaa Nchini ambayo kimkoa ilifanyika katika viwanja vya makumbusho ya taifa yamashujaa wa vita ya majimaj mjini Songe. Picha za Songea na Muhidin Amri 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2011

    duh makobole au hizi ni silaha za maonesho tu si za kivita?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...