Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali ya vyama vya ushirika kwenye kilele cha siku ya ushirika duniani ambapo kitaifa ilifanyika viwanja vya Gymkhana, mkoani Kagera, leo
 JK akipata maelezo ya uzalishaji wa kahawa
JK akipata maelezo ya namna kahawa inavyosafirishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2011

    ningependa kuchangia hoja ya mwana jamii mmoja aliewahi kutoa hoja kuhusu kiongozi wetu kupatiwa mapunziko ya muda yani holiday maana lazima tuwe na ubinadamu pamoja na kuwa ni kiongozi wa nchi lakini ingependeza zaidi anegpatiwa mapunziko kwani anafanya kazi muda mwingi sana mpeni hata wiki 1 au siku 4 za mapunziko.

    mdau mpenda taifa letu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2011

    haya mpe likizo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...