President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Gambian president Yahya Jameh at Sipopo AU Village in Malabo, Equatorial Guinea,  at the climax of the three-day  17th AU Summit yesterday evening. Photos by Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2011

    Jameh ni raisi wa kwanza duniani kuwa mganga wa kienyeji ambaye anatibu na dawa za kienyeji ikulu kuanzia asubuhi hadi jioni.Anadai yeye alioteshwa kutibu ukimwi.Ikulu hafanyi kazi kutwa ni kushinda akitibu misururu ya watu hadi usiku wa manane mara ingine hadi alfajiri sijui analala saa ngapi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2011

    Huyu Jameh alivyopindua nchi alikuwa ana umbo dogo kweli ila kweli uraisi mtamu yaani alivyochana sio mchezo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2011

    chizi tu jameh

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2011

    hana uganga wowote hiyo tisha toto tu gambia kama hujatangaza uganga na kuuwa ikulu hamkaliki wala kulalika na lazima ujifanye zimwi ndio salama yako.

    mdau.

    senegal.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2011

    another iddi amini amini usiamini

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2011

    nandomana wagambia wte uku ugaibuni wanahamini sna waganga kwasababu rais wao mganga nilikuwa cjalijua ili mana wako tayali kumleta mganga kutaka kwao aje awafanyie mambo yao uku ugaibuni nimeona mwenyewe tena ssi mara 1 kwli kila na wanavyoamini,london apa manchester

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...