Home
Unlabelled
JK meets Gambian President Yahaya Jameh in Equatorial Guinea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jameh ni raisi wa kwanza duniani kuwa mganga wa kienyeji ambaye anatibu na dawa za kienyeji ikulu kuanzia asubuhi hadi jioni.Anadai yeye alioteshwa kutibu ukimwi.Ikulu hafanyi kazi kutwa ni kushinda akitibu misururu ya watu hadi usiku wa manane mara ingine hadi alfajiri sijui analala saa ngapi.
ReplyDeleteHuyu Jameh alivyopindua nchi alikuwa ana umbo dogo kweli ila kweli uraisi mtamu yaani alivyochana sio mchezo.
ReplyDeletechizi tu jameh
ReplyDeletehana uganga wowote hiyo tisha toto tu gambia kama hujatangaza uganga na kuuwa ikulu hamkaliki wala kulalika na lazima ujifanye zimwi ndio salama yako.
ReplyDeletemdau.
senegal.
another iddi amini amini usiamini
ReplyDeletenandomana wagambia wte uku ugaibuni wanahamini sna waganga kwasababu rais wao mganga nilikuwa cjalijua ili mana wako tayali kumleta mganga kutaka kwao aje awafanyie mambo yao uku ugaibuni nimeona mwenyewe tena ssi mara 1 kwli kila na wanavyoamini,london apa manchester
ReplyDelete