![]() |
Marehemu Jimmy David Ngonya 'Gorbarchev' enzi za uhai wake. Mzee Ngonya alipewa jina la kiongozi huyo wa Urusi wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa Simba ambapo hakukubali kuyumbishwa kwa lolote lile |
Waombolezaji toka kila pembe ya jiji walijitokeza
wadau wa Yanga na Simba kama kawaida utani mbele. Hapa Madega anamuuliza Mzee Semvua sababu ya kuahirishwa kwa mechi ya Ngao ya Hisani..
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa ATC Bw. David Mattaka (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Wakala wa Usimamizi wa Bima Bw. Israel Kamuzora na Mkurugenzi mkuu wa PPF Bw. William Erio wakijumuika na ndugu, jamaa na marafiki katika kumuaga 'Gorberchev'
![]() | ||||||||
Joune David Ngonya, mtoto mkubwa ashukuru waombolezaji. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...