Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kahama, James Lembeli, kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2011

    mbona kahama hapaendelei miaka nenda rudi?? barabara mbovu sana hasa za vijijini japo zipo bize balaa. hali ya barabara ni kipimo kikubwa sana cha maendeleo maana shughuli nyingi sana za kiuchumi (na kijamii) hutegemea barabara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...