Maremehu Jimmy David Ngonya enzi za uhai wake
akihutubua kikao cha Klabu ya Simba SC ambapo
enzi hizo yeye alikuwa Katibu Mkuu wake

FAMILIA YA TULLY NGONYA(MAMA MARIA) NA IKUPA NGONYA WANASIKITIKA KUWAARIFU MSIBA WA BABA YAO MPENZI MZEE JIMMY  DAVID  NGONYA ALIEFARIKI LEO ASUBUHI 23.7.11.  

KAMA ILIVYOKUWA DESTURI YETU TUNAWAOMBA WOTE TUKUTANE TUWAFARIJI WAFIWA WAKATI WA KIPINDI HIKI KIGUMU.
 
MSIBA UPO 38 TRELLECK ROAD, READING RG1 6EN.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LITUKUZWE MILELE.
- AMEN. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2011

    poleni sana wafiwa, kwa kweli alikuwa ni mtu wa watu, mimi namkumbuka sana pale Bima, Mungu ailaze roho ya mzee Ngonya mahali pema peponi Amina

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2011

    Da poleni sana Mary, Tully, Joune, Tussa, Ikupa, Kissa,Mpelly Mungu amlaze mzee ngonya mahali pema peponi, Amina, Jamani kwani aliugua? any way yote mapenzi yake Mungu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2011

    RIP Jimmy Ngonya

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2011

    jaman poleni wafiwa japo simjui huyu baba ila nilisoma kesi yake kwenye mambo ya administrative law, public law remedies

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2011

    R.I.P Jimmy David Ngonya!

    ReplyDelete
  6. POLENI SANA ,ALIKUWA NI KIONGOZI MZURI NA MWENYE USHINDANI MZURI ENZI ZAKE, MUNGU AMLAZE PAHALA PEMA AMIN

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 24, 2011

    RIP Mzee wetu Ngonya

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2011

    MZEE NGONYA ATAKUMBUKWA KAMA MTU ALIYEPENDA MAENDELEO YA WATU WOTE. aLIKUWA MWALIMU, ALIKUWA MKUFUNZI ( TRAINER) ALIKUWA MKARIMU NA ALISAIDIA WATU WENGI SANA WAWEZE KUJIENDELEZA. KWA KWELI FAMILIA YAKE YA KARIBU NA YA MBALI WAMEMPOTEZA MTU WA MAANA SANA . SISI MARAFIKI TUMEHUZUNISHWA SANA NA KIFO HIKI. MUNGU AWASAIDIE WAFIWA KUWEZA KUUKABILI HUU MSIBA WA GHAFLA. POLENI FAMILIA YA NGONYA NA YA MCHUNGAJI KABIGI(RIP)

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 25, 2011

    R.I.P MZEE JIMMY NGONYA.
    ANKAL MIMI SIO MWANAFAMILIA ILA NIMEAMBIWA KUWA KWA HAPA DAR MSIBA UPO MAENEO YA SEGEREA KARIBU KWA MFOJO NA KESHO TAREHE 26/07/2011 MWILI UNAAGWA HOSPITALI YA TAIFA YA MHIMBILI TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA TUKUYU. KAMA TAARIFA HIZI NI SAHIHI NI VYEMA PIA WATU WAFAHAMU ILI SOTE TUJUMUIKE.
    MZEE HUYU ALIKUWA MTU WA WATU NA KIONGOZI UNAYEWEZA KUMUAMINI KWA KAULI NA MATENDO YAKE.
    ALIENDELEZA SANA MICHEZO SIO SIMBA TU LAKINI HATA NIC NA AKAWEZA KUWAENDELEZA WANAMICHEZO KATIKA MASOMO, MICHEZO NA AJIRA MFANO MAREHEMU IBAHIM MAREKANO (REAGAN) ALIYEKUWA NIC, KINA MOSES MKANDAWIRE NA WENGINEO WENGI TU.
    KWA HERI KAMANDA WA KI-UKWELI DUNIA ITAKUKUMBUKA
    MDAU MWANANCHI (YANGA AFRIKA)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...