Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige mwenye koti na Katibu Mkuu Bibi Maimuna Tarishi katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wizara na wajumbe ya Bodi ya Mfuko wa Misitu nchini (TFF)  mara baada ya kuuzindua mfuko huo na bodi yake ya wadhamini, katika hafla iliyofanyika wizara ya Maliasili na Utalii leo.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige mwenye koti na Katibu Mkuu Bibi Maimuna Tarishi katika picha ya pamoja na wajumbe ya Bodi ya Mfuko wa Misitu nchini (TFF)  mara baada kuizindua bodi ya wadhamini wa mfuko huo, katika hafla iliyofanyika wizara ya Maliasili na Utalii  leo
 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Misitu nchini (TFF) anaepiga makofi Pembeni ni  Katibu Mkuu Wizar aya Maliasili na Utalii Bibi Maimuna Tarishi, katika hafla iliyofanyika wizara ya Maliasili na Utalii  leo
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Misitu nchini (TFF) Profesa Said Iddi mara baada kuizindua bodi ya wadhamini wa mfuko huo, katika hafla iliyofanyika wizara ya Maliasili na Utalii  leo.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige akimkabidhi vitendea kazi mmoja wa wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Misitu nchini (TFF) Mhe. Zabein Mhita mara baada kuizindua bodi ya wadhamini wa mfuko huo
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Misitu nchini (TFF) na uzinduzi wa bodi ya wadhamini wa mfuko huo kulia ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania Monica Kagya na kushoto ni Katibu Mkuu Maimuna Tarishi, katika hafla iliyofanyika wizara ya Maliasili na Utalii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...