Askari mgambo wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo,Ali Ponera (kulia) akimvisha joo Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Bw. Kassim Mtara kabla ya kuanza kwa kikao cha mwisho kwa mwaka wa fedha ambao umemalizika juni 30.
Diwani wa kata ya kitanda halmashauri ya wilaya ya Namtumbo, Bw. Titus Ng'oma akiongea katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya Namtumbo kilichofanyika jana mjini Namtumbo,ambapo aliiomba halmashauri hiyo kuongeza nguvu katika kata yake kwenye mapambano dhidi ya maambukizi ya ukimwi.
kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Ruvuma,JUMA ASAJILE,kulia akifungua kikao cha kawaida cha baraza la madiwani wa halashauri hiyo kilichofanyika jana mjini Namtumbo,kushoto ni makamu mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Bw. Kasssim Mtara. Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii, Ruvuma
Hizo uniform hata kunyoosha jamani imeshindikana,utadhani uniform za makondakta wa daladala
ReplyDeleteHuyo askari alipwe posho kwa ajili ya uvalishaji huo. hakuna kumnyanya paa
ReplyDeletewabongo tunajali kuongea good english wakati kiswahili chetu kinatushinda. Vazi linaitwa Joho sio joo,michuzi.Kila siku unakuwa na typo za ajabu ajabu.
ReplyDeleteHealthy and safety Tanzania hakuna hizo nguo zilivaliwa na mwingine miezi 3 iliyopita na hazikufuliwa hivyo kupasiwa isingefaa. Je magonjwa ya ngozi yataisha? Halafu kumbe mgambo wa Tz ana cheo kikubwa sana?
ReplyDelete