Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wajumbe  kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika viwanja vya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Amaan Abeid Karume,(katikati) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia),kwa pamoja waiimba wimbo wa chama kabla ya kuanza kwa kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) akisoma agenda za kikao cha  siku moja cha kamati maalum ya halmashauri kuu ya taifa ya Zanzibar katika ukumbi wa CCM Kisiwandui leo,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein,na Katikati) Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK Amaan Abeid Karume.
Wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,wakisikiliza mada zinazotolewa  katika  ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Amaan Abeid Karume.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...