Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (wa nne mbele kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati tendaji ya Commonwealth Parliaments Association (CPA)  baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati hiyo katika Mkutano wa CPA London,   Uingereza. Mkutano huo wa 57 wa CPA umeanza jana Jijini London Uingereza na unatarajiwa Kufunguliwa rasmi Leo na Malkia wa Uingereza.
Naibu Spika Mhe. Job Ndugai (kushoto), Spika wa Namibia Mhe. Asser Kapete (katikati) na Mbunge kutoka Nigeria wakisikilza jambo kutoka kwa Desk Officer wa CPA tawi la Tanzania Said Yakubu mara baada ya kumaliza kikao cha kwanza cha kamati tendaji ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA) kilichoanza jana Jijini London Uingereza.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, akifurahia jambo na Spika wa Malawi Mhe. Henry Chimuntu Banda mara baada ya kumaliza kikao cha kwanza cha kamati tendaji ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA) kilichoanza jana Jijini London Uingereza.
Naibu Spika Mhe. Job Ndugai, akimkabidhi Katibu Mkuu wa CPA Dkt. William Shija zawadi ya Crystals yenye Picha ya Mlima Kilimanjaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...