Napenda nikupe pongezi kwa mafanikio mazuri uliyopatana kwa kazi nzuri unayoifanya kutuhabarisha matukio mbalimbali popote pale tulipo duniani kwa kutumia blog yako hii. Nimeifuatilia for years mpaka nimekuwa encourge kuwa na blog yangu mwenyewe.
Pili nilikuwa naomba kuitangaza blog yangu kwa kutmia blog yako ya jamii kama itawezekana.
Mimi ninaishi katika mji wa Leicester UK.
Jina la blog yangu ni: Roy's Group (www.swahilispeakers.blogspot. com)
Email : swahilispeakers@gmail.com
Regards
Roy Sr.



Sasa mkuu mbwembwe za nini kutaka kuchomomeka maneno ya kiingereza ambacho hukijui? Hakuna neno encourge kwenye kamusi ya kiingereza, labda ulikuwa unataka kuandika encourage. Kibaya zaidi hata hicho kiswahili chenye na mgogoro! "mafanikio uliyopatana" ndio sentensi gani hiyo?. Bora tu uedeleze hilo libeneke kwa kiswahili hicho hicho cha kuunga unga.
ReplyDeleteKila la kheri mkuu.
Kaka Michu, usiruhusu ukurasa wako kutumiwa na kila anayeweka neno swahili kwenye maandishi. Hii ni danganya toto, nimevisit hii blog AND I DID NOT SEE ANYTHING SWAHILI OR RATHER FOR SWAHILI SPEAKERS IN IT! Roy Sr. I will advise you to change the name of your blog ... Just my thought.
ReplyDeleteAsanteni,
Mimi
acheni zengwe,hamjalazimishwa kuangalia hiyo web site,jamaa kaanza mwacheni andeleze hapo alipo fikia,je wenyewe mmeweza kufikia hatua jamaa aliofikia?mjomba ommy endelea na bidii zako usiwasikilize wachache wasiokutakia maendeleo,
ReplyDelete