Katika pita pita zake leo Michuzi Jr wa Mtaa kwa Mtaa kakutana na hawa wadau wakihangaika kusukuma gari lililogoma kuwaka wakati wakiwa njiani kuelekea kwenye ubwabwa wa harusi, ambapo aliekuwepo ndani ya gari hilo ilibidi kuteremka na kusukuma. Liliwaka baada ya push kibao
Home
Unlabelled
lifti ya kwenda kwenye ubwabwa inapopatwa na kwikwi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...