Uwapo kwenye maonesho ya SabaSaba usisahau kutembelea mabanda yenye majina ya viongozi wetu. Humo utakuta waonesha bidhaa wa kizalendo pamoja na wafanyabiashara ndogondogo na taasisi za umma, ukianzia banda la sherehe lililopewa jina la Simba wa vita Rashidi Mfaume Kawawa
Banda la Benjamin Mkapa
 Banda la Ali Hassan Mwinyi
Banda la JK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2011

    Na banda la Dr. Wilbroad Slaa liko wapi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2011

    mbona hakuna banda la abedi amani karume wala salmin amour na wala la dr.omar ali juma au hao sio vingozi wa taifa letu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...