Video ya kukuelekeza namna ya kufika Photo Point ndani ya
Quality Centre barabara ya ya Nyerere Road, Dar
Ukifika ngazi mbili, ingia kushoto hapo kwenye bango la bluu na baada tu ya mtaa wa kwanza unaolekea supermarket ya UCHUMI utakutana na Photo Point. Kumbuka matawi mengine yako Mlimani City, Mwenge, Benjamin Mkapa Towers usoni pa Posta Mpya na Mayfair Plaza Mikocheni
Njia ya kuelekea Photo Point baada ya kukata kushoto pale ngazi mbili
Photo Point ndio hapa...
Wataalamu wa Photo Point wakikusubiria wakupe huduma za kimataifa za picha na fremu na mazagazaga kibao mengine kama kuprint picha yako katika T-shirt, vikombe na kadhalika...Angalia video hiyo kwa maeleekezo zaidi






Kaka hongera sana kwa ofisi mpya Quality plaza. Wewe ni role model wa ujasiliamari Tanzania! Nakusifu sana and I like the way unavyofanya mambo yako, taratiiiiiiibu but kwa uhakika! May be unaweza kuanzisha firm ya kuwashauri vijana wa TZ kuhusu kuanzisha biashara na kuzisimamia. Kwa sababu what I believe ni kuwa by sharing info like this Mwenyezi Mungu atakuzidishia na ndio kitu kitakachokufanya uwe na amani moyoni hata nguvu zitakapokuishia(once you see those who you shared info with wame sucessed). Always I believe that there is a very thin line between poverty and utajiri. But wengi hatujui what to do!!!! Keep it up bro and God bless you!
ReplyDeleteKaribu Nigeria
Jamani msinione mshamba. Hivi Nyerere road iko wapi? au karibu na wapi?. Nataka niwaone hao quality centre nipate huduma zao. jamani msinione mshamba
ReplyDeleteBado mpo quality centre? Na kama mpo mnafanya kazi cku gani na cku gani maana nimekuja jumatatu saa saba mchana siwaoni leo 4/4/2016
ReplyDelete