Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alifurahia mojawapo ya Hansard za lililokuwa Baraza la Kutunga sheria (LEGCO) la mwaka 1928 kutoka kwa Ofisa Habari wa Bunge, Owen Mwandumbya, wakati alipotembelea Banda la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere alipofika kuzindua rasmi maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa.
Home
Unlabelled
makamu wa rais alipotembelea banda la bunge katika maonyesho ya 35 ya kimataifa ya biashara jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...