Spika wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akitoa  heshima za mwisho kwa mwili wa  marehemu Luhama Chonya ambaye ni bibi mzaa mama wa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mh. Job Ndugai ,ambaye ni ndiye aliyemlea Naibu Spika huyo katika mazishi   yaliyofanyika leo kijijini Ibwaga, wilayani Kongwa ,Dodoma.
Kiongozi wa Kambi ya  Upinzani bungeni katika  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Freeman Mbowe  akitoa  heshima za mwisho kwa mwili wa  marehemu Luhama Chonya ambaye ni bibi mzaa mama wa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai  akiwa na mkewe Dk. Fatuma   akiweka shada la maua kwenye kaburi  la marehemu Luhama Chonya
Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, mama Tunu Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Luhama Chony.  PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...