Kocha wa Mchezo wa ngumi Habibu KInyogoli (kushoto) akimwonesha jinsi ya kupiga tumbo bondia Yohana Robart wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala yanayoendelea katika ukumbi wa Amana CCM Dar es Salaam Robart anajiandaa na mpambano na Rashidi Ally utakaofanyika jumamosi ya Julay 9.
Kocha wa Mchezo wa ngumi Habibu KInyogoli (kushoto) akiwaelekeza mabondia Rashidi Mhamila, Yohana Robart na Omari Bai jinsi ya kupishana na kumi pamoja na kupiga wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala yanayofanyika Amana CCM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2011

    sasa boxing na lakers wapi na wapi ? mdau paris

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...